10:4710:18
Sam Mangwana na sauti yake ya puani...ukiwa mwembamba au mnono..
"Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi"
$239 M?Range: 14,800 km
Top speed: 954 km/h
Cruise speed: 913 km/h
Unit cost: 787-8: US$239.0M (2018), 787-9: $281.6M (2018), 787-10: $325.8M (2018)
Program cost: US$32 billion (Boeing's expenditure as of 2011)
Engine types: Rolls-Royce Trent 1000, General Electric GEnx
[emoji38] [emoji38] ninja ni noma sana na hilo vazi lake"Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi"
Nimenukuu comment ya mdau mmoja huko...
[emoji673][emoji673][emoji673] Ni kosa kufanya hivyo? Huyu ninja hata hivyo anajulikana kwa vituko vyake na ni mpenda matani sana. Bungeni huko pia huwa vituko tupu. Cheo alichopewa kinataka umakini mkubwa. I hope analijua hilo !!!
Majukumu gani ya usiku wa manane? Ulienda kukorogeshewa uji ama?Hahah!! Kweli mkuu ila majukumu mengine yalinivuta shati aisee!