Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Wenzetu hawa wako mbali. Wanamjibu Mrusi na lile liAntonov lake linaloweza kubeba mavifaru na mazagazaga mengine kwenda vitani?

Yeah, japokua mipango yao ilivyo kwa sasa ni kwa ajili ya Airbus tuu.Wanatarajia kutengeneza 5 kwa matumizi ya ndani ya Airbus tuu.Zitakua zinahudumia industrial sites zao mbili kati ya France(Toulouse) na Germany(Hamburg).
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba kama umeamua kujirisk ujirisk kwenye kitu chenye akili kweli..
Ukiamua kutenda dhambi basi dhambika kweli kieleweke na faudu kwa kadri inavyowezekana. Siyo unadhambika kwa nyodo, kujishaua au kufaudu nusunusu. Huo ni udwanzi [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
IMG-20180709-WA0011.jpg
 
Kwema ngole wa Ntuzu?
Kwema kabisa, namshukuru Mungu kwa pumzi hii aliyoniwezesha siku ya leo kwani ni wengi walitamani kufanya kama ninachokifanya sasa lakini haikuwa hivyo....
Sio kwamba mimi/wewe tu wema sana mpaka tutunukiwe mibaraka yote hii...Yote haya ni mapenzi ya Mungu...
Sifa na utukufu vimrudie muumba wa mbingu na nchi...
Akatuongoze na tukapate kuenenda katika mapenzi yake...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kangi Lugola, Mchukulie Unavyoona Inakupendeza! Lakini Ukweli Ni Kwamba Kangi Atakuwa Waziri Anayependwa Zaidi Na Mkulu Kuliko Mawaziri Wote Awamu Hii Sababu Vitu Anavyofanya Kangi Ambavyo Wewe Unaviona Kama Vituko, Utoto, masifa N.k Kwa MKULU Hizo Ndizo Sifa Halisi Za MCHAPAKAZI
 
Ukiamua kutenda dhambi basi dhambika kweli kieleweke na faudu kwa kadri inavyowezekana. Siyo unadhambika kwa nyodo, kujishaua au kufaudu nusunusu. Huo ni udwanzi [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Hahahahahaah! Jamani
Kwamba kama moto na uwe moto kweli
Kama ni baridi na UPOE kweli....Usiwe vugu vugu .....Ueleweke ni wapi umesimamia...
 
Back
Top Bottom