myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
siku imeshika kasi
Amen...Kwema kabisa, namshukuru Mungu kwa pumzi hii aliyoniwezesha siku ya leo kwani ni wengi walitamani kufanya kama ninachokifanya sasa lakini haikuwa hivyo....
Sio kwamba mimi/wewe tu wema sana mpaka tutunukiwe mibaraka yote hii...Yote haya ni mapenzi ya Mungu...
Sifa na utukufu vimrudie muumba wa mbingu na nchi...
Akatuongoze na tukapate kuenenda katika mapenzi yake...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kabisaaaaaaa....Hahahahahaah! Jamani
Kwamba kama moto na uwe moto kweli
Kama ni baridi na UPOE kweli....Usiwe vugu vugu .....Ueleweke ni wapi umesimamia...
Inataka moyo. Mzee wa goli la mkono mbona alishindwa? Mianasiasa !!!Inabidi tu iwe hivyo.
[emoji441][emoji445][emoji441][emoji445][emoji445]Mbona Mjusi ama kinyonga anavyopata riziki yake,tena hula vidudu hai, vyenye kuruka ruka,,mbona yeye hana mbawa[emoji441][emoji445]
Nilikaona jana usiku. Halafu kakakimbia tenaHahahahahaah!!!!!!!.......*****.......
Supersonic speed
No you are not [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HAhNo you are not [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Amen...
Naombea leo upako ukatawale katika uzi huu. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tangu juzi nikutane nako kwenye uzi mmoja hivi sijakaona tena.Nilikaona jana usiku. Halafu kakakimbia tena