Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2f8989a2773c912bea77ff312b360a49.jpg
 
"Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi"

Nimenukuu comment ya mdau mmoja huko...

[emoji673][emoji673][emoji673] Ni kosa kufanya hivyo? Huyu ninja hata hivyo anajulikana kwa vituko vyake na ni mpenda matani sana. Bungeni huko pia huwa vituko tupu. Cheo alichopewa kinataka umakini mkubwa. I hope analijua hilo !!!
Akiwa mbunge nilikuwa namkubali na kumuamini sana bro Kangi, lakini Wizara ya mambo ya Ndani inaanza kumfanya kuwa kituko
 
Back
Top Bottom