myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
muda wa kwenda kupumzika baada ya 'patashika' ya leo
[emoji23][emoji23][emoji23]Neno
Jamaniiiiii
Kaliogopa, sijui hata kaliogopa nini[emoji23]
Kwema tabhani?[emoji15][emoji134]♂️[emoji134]♂️
Na kutolia huko ndiko kunawakosti wanaume. Hawatoi madukuduku yao. Mshonano wa mambo kibao kifuani na siku ya siku massive heart attack wanadondoka na kufa na mambo yao kifuani. Kulia kumethibitishwa kisayansi kuwa ni njia nzuri ya kupunguza stress hormone mwilini, hormone mbaya inayosababisha BP, matatizo ya moyo na shida zingine kibao.[emoji846]View attachment 805957