Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na kutolia huko ndiko kunawakosti wanaume. Hawatoi madukuduku yao. Mshonano wa mambo kibao kifuani na siku ya siku massive heart attack wanadondoka na kufa na mambo yao kifuani. Kulia kumethibitishwa kisayansi kuwa ni njia nzuri ya kupunguza stress hormone mwilini, hormone mbaya inayosababisha BP, matatizo ya moyo na shida zingine kibao.

Wanaume kulia siyo udhaifu. Ukigusika sana moyoni lia mwanawane. Mbunye ikikuzidia utamu limwage chozi bila aibu...Ukiwa na huzuni sana lia. Misiba ya wapendwa wako lia...Kwa kufanya hivyo utakuwa unajitibu na kujiongezea siku za kuishi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…