Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3856.JPG
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kimya kimya nayo inaboa....Mnakuwa kama wafu wanaokokotana.
Si hapo ndo unajua kama hampatani ama la...Hakuna kulazimisha mambo. Ni hayo hayo kujipandisha vilele vya bandia halafu ukitoka hapo unasonya unaenda kupandishwa kwingine. Mngekuwaga wakweli tu mtu anajua anapopwaya mnarekebishana mpaka mnalizana na kufikishana huko mawinguni kiuhalisia kabisa.
 
Back
Top Bottom