[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kimya kimya nayo inaboa....Mnakuwa kama wafu wanaokokotana.Makelele ya kujifanya. Hovyo kabisa. Hata mimi siyawezi kwa kweli. Afadhali ukae kimya tu nijue moja [emoji16][emoji16][emoji16]
Hongera...Kama samaki, mimi mvuvi bana! [emoji1][emoji1]
Yaah! naikumbuka boss, kwahiyo likizo ilishafika kumbe?
Utang'atwa midomo...Shauriyo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] nafata nyuki
Shiro usiende...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mi ninazo ukitaka uje uchukue tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Come on man. Hata hukusema. Safari nyingine mmoja wetu akienda basi tujulishane bana....Nilikuwa huko, nimesharejea masikani!
Vipi matokeo mwake au jau tu?[emoji3][emoji3][emoji3]
Jirani habari yako[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Utang'atwa midomo...Shauriyo
Mkuu habari za jumatatuShiro usiende...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Come on man. Hata hukusema. Safari nyingine mmoja wetu akienda basi tujulishane bana....
Yego kutiki wasu
Si hapo ndo unajua kama hampatani ama la...Hakuna kulazimisha mambo. Ni hayo hayo kujipandisha vilele vya bandia halafu ukitoka hapo unasonya unaenda kupandishwa kwingine. Mngekuwaga wakweli tu mtu anajua anapopwaya mnarekebishana mpaka mnalizana na kufikishana huko mawinguni kiuhalisia kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kimya kimya nayo inaboa....Mnakuwa kama wafu wanaokokotana.
Hujambo weyeHongera...