Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mnatuibia sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahah!! Hongera kwa kujichukulia mavyeo yako mkuu [emoji23]..

Mishe ya pili ya humu ndani?
[emoji3][emoji3][emoji3]

Yeah ya humu ndani, ama nazingua
Mkuu humu ndani JF nina mtandao mpana sana kila kitu kinachoendelea juu yako nakielewa sana, najua kinachokuchelewesha kufanikiwa mpaka sasa ni swala lako la age. Uongo?

Ila ukiendelea kukaza utafanikisha usikate tamaaa
Acha kumpoteza maboya mshikaji wako,,, na akifata kweli anapotea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…