Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si hapo ndo unajua kama hampatani ama la...Hakuna kulazimisha mambo. Ni hayo hayo kujipandisha vilele vya bandia halafu ukitoka hapo unasonya unaenda kupandishwa kwingine. Mngekuwaga wakweli tu mtu anajua anapopwaya mnarekebishana mpaka mnalizana na kufikishana huko mawinguni kiuhalisia kabisa.
Kulizana na kufikishana mawinguni..
 
Back
Top Bottom