Niko poa mkuu hujakosea vipi za kwako?Morning bro, I hope you are doing great!
Nakumbuka wakaka walikuwa wanavifanya wallpapers.[emoji23]Tulikua tunazicheza tunazipanga nyiingi mmoja mmoja anapiga kwa mkono itakayofunguka ni yake
Shwari kabisa namshukuru Mungu.Niko poa mkuu hujakosea vipi za kwako?
G'morning bradha!Good morning everyone
Shukrani ndugu..Shwari kabisa namshukuru Mungu.
Enjoy the day
Isije kua tuliishi mtaa mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah! Nakumbuka pia nimeicheza hiyo..
Kuna mapicha ya wasanii nayo nilikua nadili nayo kwenye madaftarNakumbuka wakaka walikuwa wanavifanya wallpapers.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]; hakuna linaloshindikana.Isije kua tuliishi mtaa mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio, nakumbuka nilikuwa nina counter book special kwaajili ya kuandika nyimbo + mipicha.. Lilikuwa limejaa picha za Ciara + Fantasia...Kuna mapicha ya wasanii nayo nilikua nadili nayo kwenye madaftar
Salama kbsSalaam Tanzania
Sijambo myoya, habari yako?hujambo...
Kwema mama?