Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yerry Mina kwenda Everton
Beki wa Colombia, Yerry Mina, amecheza kwa kiwango kikubwa kwenye fainali za Kombe la Dunia huko Russia na kuzivutia klabu kibao za Ligi Kuu England zikiwamo Everton na Liverpool, ambazo ni mahasimu wakubwa wa Merseyside.
Fenerbahce inadaiwa pia kumfukuzia beki huyo na kuweka mezani ofa ya Pauni 30 milioni. Everton imeanza kuulizia kuhusu upatikanaji wa beki huyo wa Barcelona, lakini wasiwasi uliopo ni kwamba Mina huenda akaamua kubaki zake Nou Camp kugombea namba na Samuel Umtiti.