Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*MATUMIZI MATATU YA FEDHA*

Habari rafiki leo natamani kuzungumza nawe kidogo juu YA matumizi 3 ya Fedha. Duniani binaadam tumegawanyika kwenye makundi matatu katika matumizi ya Fedha.

*1.WANAOPOTEZA FEDHA*

Kuna watu wanalalamika maisha magumu Lakini wao nimahodari wakupoteza Fedha zao hasa wanapozishika, hawa niwale ambao ananunua kila kinachopita machoni mwake, anatoa Offer kwa kuwaridhisha rafiki zake, hana bajeti ya matumizi yake.Hawa huwa kila siku wanafulia

*2.WANAPATA FEDHA NA WANATUMIA YOTE KESHO WATATAFUTA TENA*
Hawa kwa lugha rahisi niwale wanajiita tumia fedha ikuzoee au wachumia tumbo anapata fedha anatumia yote kesho anatafuta tena, haweki akiba wala hatoi sadaka,wala hawekezi.Hawa huwa maisha yao niyautumwa .

*3.WANAPATA FEDHA KISHA WANAWEKEZA*
Kundi la tatu ni watu ambao wanatafuta fedha wanaipata, wanajiwekea akiba, wanatoa sadaka na inayobakia ndio wanaingiza kwenye matumizi yao ya msingi na lazima.
Hili ni kundi la watu ambao huwa wanafanikiwa sana.
 
Leo ndio Leo Mtoto Hatumwi Gengeni, Ni Nusu Fainali ya kwanza ya WORLD CUP ambapo FRANCE anakipiga na BELGIUM. VARANE, na UMTITI wataweza Kuwazuia HAZARD na DE BRUYNE? Au ALDERWEIRD na KOMPANY wataweza Kuzima Moto wa MBAPPE? Nani Atashinda nani atarudi nyumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…