mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha niku kassimu majaliwa mapema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha niku kassimu majaliwa mapema
Leo tupate chakula boramchana wa kula
Kama kawaidalikes zinaendelea
Ni kweli kuna watu hufurahia vifo vya wenzaowanaposikia fulani kafaaa...
[emoji441][emoji445]
Mimi hata sijui niko kundi gani*MATUMIZI MATATU YA FEDHA*
Habari rafiki leo natamani kuzungumza nawe kidogo juu YA matumizi 3 ya Fedha. Duniani binaadam tumegawanyika kwenye makundi matatu katika matumizi ya Fedha.
*1.WANAOPOTEZA FEDHA*
Kuna watu wanalalamika maisha magumu Lakini wao nimahodari wakupoteza Fedha zao hasa wanapozishika, hawa niwale ambao ananunua kila kinachopita machoni mwake, anatoa Offer kwa kuwaridhisha rafiki zake, hana bajeti ya matumizi yake.Hawa huwa kila siku wanafulia
*2.WANAPATA FEDHA NA WANATUMIA YOTE KESHO WATATAFUTA TENA*
Hawa kwa lugha rahisi niwale wanajiita tumia fedha ikuzoee au wachumia tumbo anapata fedha anatumia yote kesho anatafuta tena, haweki akiba wala hatoi sadaka,wala hawekezi.Hawa huwa maisha yao niyautumwa .
*3.WANAPATA FEDHA KISHA WANAWEKEZA*
Kundi la tatu ni watu ambao wanatafuta fedha wanaipata, wanajiwekea akiba, wanatoa sadaka na inayobakia ndio wanaingiza kwenye matumizi yao ya msingi na lazima.
Hili ni kundi la watu ambao huwa wanafanikiwa sana.
Pamoja mkuu namuona Duerte Rais wa ufilipino anamsapoti kirangamkuu kwema kabisa ...hofu na mashaka ..kwako "..
Wewe si unatawanya mpaka kwa kanjibahMimi hata sijui niko kundi gani
Kuna mmoja anarudi nyumbani unaweza bashiri naniLeo ndio Leo Mtoto Hatumwi Gengeni, Ni Nusu Fainali ya kwanza ya WORLD CUP ambapo FRANCE anakipiga na BELGIUM. VARANE, na UMTITI wataweza Kuwazuia HAZARD na DE BRUYNE? Au ALDERWEIRD na KOMPANY wataweza Kuzima Moto wa MBAPPE? Nani Atashinda nani atarudi nyumbani?
Kila kitu kimya kimyaJay moo - kimya Kimya
Au sio Binti MpoleLeo ndio Leo Mtoto Hatumwi Gengeni, Ni Nusu Fainali ya kwanza ya WORLD CUP ambapo FRANCE anakipiga na BELGIUM. VARANE, na UMTITI wataweza Kuwazuia HAZARD na DE BRUYNE? Au ALDERWEIRD na KOMPANY wataweza Kuzima Moto wa MBAPPE? Nani Atashinda nani atarudi nyumbani?
Jirushe -FerouzKila kitu kimya kimya