Hujambo ledada09:37
Mechi bado itakuwa ngumu kiasi..Hapo sawa
Kuona semi final WC 2022 Qatar ni majariwa yake molaTukio kama la leo tutalisubiri kutokea baada ya miaka minne
IndeedNatoa rai kwenu wapenda soka, msikubali kupitwa na tukio hili la leo huko Russia, maana miaka minne ni mingi sana
IndeedNusu fainali hii kwanza inakutanisha nchi mbili zinazowakilisha vema bara la Afrika ingawa ni nchi za bara Ulaya