myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salama...wewe kwako?Habari za jioni wananchi
Salama...wewe kwako?Habari za jioni wananchi
Karibu tena..Baada ya mihangaiko ya mchana kutwa tumerudi tena kijiweni
Salsa dancing.
Wazungu wamechafukwa, wamesahau kuwa na wao walizamia Afrika na wakaiba dhahabu na almasi zetu. Tutabanana nao hukohuko ambako raslimali zetu zilikojenga miji yao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Basi itakuwa njema zaidiSasa hao wapo kundi lipi?[emoji2][emoji2][emoji2]
Inabidi ujiunge kundi la 3.
Hahaha pole sanaHuko nimekulishwa kaban kadogo mkuu...
Ndio raha ya kupiga miguu yote kule wakileta za kuleta unaingia JFHuko nimekulishwa kaban kadogo mkuu...
Nzuri mtanzaniaHabari za jioni wananchi
Kama kawaidaBaada ya mihangaiko ya mchana kutwa tumerudi tena kijiweni
Hapo sawaLeo ni lazima Belgium itakula