Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wazungu wamechafukwa, wamesahau kuwa na wao walizamia Afrika na wakaiba dhahabu na almasi zetu. Tutabanana nao hukohuko ambako raslimali zetu zilikojenga miji yao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umenikumbusha wimbo mmoja wa Mwinjuma (kama sikosei) tutabanana hapahapa mpaka kutakucha....Kama Mungu ni wako nasi pia ni wetu, shuaaaaaa! [emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…