Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446505425_190911.jpg
 
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inatarajiwa kukaa leo Dar Es Salaam ambako pamoja na mambo mengine, inatarajiwa kujadili wabunge wa Chama hicho ambao hawakuwapo Bungeni wakati wa kupiga kura ya kupitisha Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2018/19. [HASHTAG]#Mtanzania[/HASHTAG]
Wawakate tu,

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom