Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wawakate tu,KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inatarajiwa kukaa leo Dar Es Salaam ambako pamoja na mambo mengine, inatarajiwa kujadili wabunge wa Chama hicho ambao hawakuwapo Bungeni wakati wa kupiga kura ya kupitisha Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2018/19. [HASHTAG]#Mtanzania[/HASHTAG]
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mzee wa kuvuruga maneno umeshakuja
Mambo vipi mkuu
Kisa?cjapenda kuona madahiiiii bora jina tulibadikishe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Iepukeni dhambi, nayo itawakimbia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Na anavuruga si kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unaongea na SISI??
Ni kweli mkuuNipo kamanda. Uzi wetu huu. Badala ya kwenda kwa daktari tunakuja hapa kujitibu kwa vicheko na furaha...Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wewe ulimuelewa?Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Haeleweki[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unaongelea nini mkuu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu ndio maana nilimwambie aweke mzigo sasa tunaongea kikubwa wewe unawaza kamari tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe mnayajenga mkuu!!!!Tutayajenga baadaye
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Haaaa! Nawe ushapinduka?