[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umenikumbusha wimbo mmoja wa Mwinjuma (kama sikosei) tutabanana hapahapa mpaka kutakucha....Kama Mungu ni wako nasi pia ni wetu, shuaaaaaa! [emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji445]
Raia wa Dunia, [emoji3] [emoji3] [emoji3]Walimwengu ni akina nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katikati ya nyoka pia kuna watu wema mkuu, nadhani uwepo wa watu hawa ndiyo unaotipatia amani hiiSio kwa kizazi hiki cha nyoka