ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,179
Dk 5 bila bilaNgoma dimbani, Ufaransa waingia ndani ya 18 ya Ubelgiji dk ya kwanza tu
Oil chafu kiboko ya mchwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hatari kabisaNaona mambo ni moto moto
Acha tu aisee,, kama hyo miwili ulotaja hapo,, jamaa wanapiga kweli kweli na kutuachia mashimo,,tena mashimo kweli kweli,,,,Walitorosha vya kutosha GGM, Buzwagi ...leo wanaifunga Ulanga.
Mbwembwe tu za mwanzoNgoma dimbani, Ufaransa waingia ndani ya 18 ya Ubelgiji dk ya kwanza tu
Dakka 12Acha tu aisee,, kama hyo miwili ulotaja hapo,, jamaa wanapiga kweli kweli na kutuachia mashimo,,tena mashimo kweli kweli,,,,
Anyways,,, tutzame mpira tu