mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amewasaidia kushinda ligi ya mabingwa misimu minne kati ya mitano akifunga katika fainali ya mwaka 2014 na 2017.
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa team franceDakka 12
PoleRip Ismail kanga masikini uwiii
Hahahhaah, ndio ndio[emoji23][emoji23][emoji23]sawa team france
Kweli wacha tucheki boliAcha tu aisee,, kama hyo miwili ulotaja hapo,, jamaa wanapiga kweli kweli na kutuachia mashimo,,tena mashimo kweli kweli,,,,
Anyways,,, tutzame mpira tu
Dk 15Dakka 12