[emoji3] [emoji3] [emoji3] Leo unaikana!!Mimi sijawahi kusema hivyo. Inawezekana akaunti yangu ilihakiwa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji28]
Hiyo ndiyo kazi ya serikali, hata ukiambiwa lipa kodi unalipa kiroho safi cheupe.
Si kwa ndevu hizo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Inna Lillah wainna illahiyi rajuun
Dalili ni nyingi kukosekana jina lolote kati ya hayoTANGU upite mwaka 2007, hakuna mchezaji yeyote ambaye haitwi Lionel Messi au Cristiano Ronaldo amewahi kubeba tuzo ya Ballon d’Or. Lakini, mwaka huu 2018 kumeanza kuonyesha taswira ya kwamba kutakuwa na jina jipya nje ya wakali hao wawili wanaotamba kwenye La Liga.
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji36][emoji36]yamekuwa haya tena
Croatia kesho wanamliza mtu. Niulize sababu yake
France lazima waondoke
Hi[emoji125][emoji125]