capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kwanini matiti.?
Mjomba wa taifa who
Kwanini ukatazwe, au una shida ki-afya?Naziangalia hizo vitu lakini majuzi hapa nimekataziwa kabisa kula.
Jakitoo mambo vipiAbeee cap🙂😉
Acha tu mkuu maisha haya bwana,Kwanini ukatazwe, au una shida ki-afya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaweza kumRip mtu kwa kweli
Hahah!! Maisha yanakuchaguliaAcha tu mkuu maisha haya bwana,
Yanabadilika na kuna siku utalazimika kufanya mambo usiyopenda.
Hahaha huu mwaka umenifundisha mambo mengi sana!Hahah!! Maisha yanakuchagulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nini tena Team FranceUzi wa mzee wa liver huo
Majukumu haramu ni yapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majukumu safi au haramu?
Mkuu utakua na stor ndefu sana ya kuniambia sema mazingira yanabana [emoji16]Hahaha huu mwaka umenifundisha mambo mengi sana!
Mfano tuMajukumu haramu ni yapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee kuna babu mmoja hapa Dodoma anatibu Aids wengi wamepona lakini ajitangazi kabisa
Gr8 kwa kweli hujambo weyeMnaendeleaje hapa ndani?
Anaowatibu wanajuaje kama babu anatibu?Aisee kuna babu mmoja hapa Dodoma anatibu Aids wengi wamepona lakini ajitangazi kabisa