Mnateseka mkuu, Croatia inawanyanyasa vilivyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Likes zinaendelea
Hata mimi naomba uishe.....Jamaaa eee mpira uisheeeee
Eeeeee banaKwani unaipigia upatu Croatia? [emoji1][emoji1]
Hahahaha rais bomba kabisa
Wachezaji wa England ni mdebwedo, hawana nguvu wanategemea msaada wa refa. Pumbaf sana
Nyokolo zao kabisaWachezaji wa England ni mdebwedo, hawana nguvu wanategemea msaada wa refa. Pumbaf sana
New alert