Hahaaaaa wewe si unapenda vi picha picha naomba niletee picha za huyo dogo kwenye Avatar..Dogo sijapotea ila nimefichwa na likess
Hahaaaaa wewe si unapenda vi picha picha naomba niletee picha za huyo dogo kwenye Avatar..
Maombi ya nini kiongozi?Maombi yenu wakuu natoka mtaa wa kongo naenda shule ya uhuru