Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika ni kazi nzuri sana
Yap bro,, kuanzia kwnye albamu cover ilikuwa tofaut sana,, cover ya illmatic inamuonesha Nas akiwa chalii sana hata lyrics zake zlkuwa bado sana, zlmuonesha mtu flan hv mwenye njaa ya kutoka, alikuwa na hasira ya kufanya vzr,,, Illimatic ilijaa flow style kali, heavy lyrics,,, It Was Written cover yake inamuonesha jamaa amekuwa,, mtu mzima flan hv flow zaid ya Illimatic, lyrics pia kali,,, yaani jamaa tyl alikuwa mtu mzima,,, ukisikiliza If I Ruled The World utakuwa umenielewa zaid
 
Sana yani nakuelewa sana bro alafu umeniongezea vitu nilikua sijavifikiria b4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…