mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
duh!!Papa huyo alimzuilia chini ya maji kwa sekunde chache kabla ya kuamua kuondoa kiganja chake cha mkono katika mdomo wake.
hatariiKatarina alilazimika kushonwa na kupewa dawa , na bado ana vipande vya meno vya papa huyo vilivyosalia katika kidonda hicho.
Morning to you, mambo ni vipi?Morning mkuu
Hakika mkuu,, kuna wengine hawajafankiwa kuiona siku ya leo,, [emoji120] [emoji120] [emoji120]Gr8 mkuu Tunamshukuru mwenye enzi kuiona siku ya leo