Kati ya beat kali kuwahi kutokea katika ulimwengu wa music moja wapo ni hii!!
Nzuri mzee wa liver....vipi za kwako?Habari za asbh consuela
Ilikua gangwe au ni solo project ya Babu?Gangwe Mob- Mtoto wa geti kali
Nanukuu maneno yake, busara zake, alikua mtu wa watu huyu mtuu[emoji445]Jeb -swahiba
kweli brother,, walijitahidi kwa kiasi chaoKati ya beat kali kuwahi kutokea katika ulimwengu wa music moja wapo ni hii!!