Kuna demu flani hivi alifanya michano kwenye hiyo beat mzee noma sana, japo nadhani ilikua kama freestyle tu sio official song..kweli brother,, walijitahidi kwa kiasi chao
Vp broDaaah!
Alinisihi sana maisha haya nisiwaseme watu kwa mabayaNanukuu maneno yake, busara zake, alikua mtu wa watu huyu mtuu[emoji445]
Gangwe hiyoIlikua gangwe au ni solo project ya Babu?
Kuna ngoma nimeikumbuka niliitumia sana kudadecate watu.....Vp bro
Huwa inachanganyaGangwe hiyo
Uwezo nilionao wala hautoshi, wa kumrudisha yeye aje kuishi[emoji445]Alinisihi sana maisha haya nisiwaseme watu kwa mabaya
GK ft AY na FAEast coast -Hii leo