Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo wewe nawe unavuruga watu humu hadi wanajisahau[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila naona davet anataka kujua kama ile uno feni lipo ama laaa[emoji23][emoji23]

Hujambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wanajivuruga wenyewe..
Mbona nilimtahadharisha mapema kwamba mie mpaka grisi, bila grisi kuskrachi kunamuhusu.
 
Tatizo wewe nawe unavuruga watu humu hadi wanajisahau[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila naona davet anataka kujua kama ile uno feni lipo ama laaa[emoji23][emoji23]

Hujambo?
Moud naye jana/juzi alilalamika. Eti mitego mikali inamshinda. Nikamshauri aongee na kaYego kampe ushauri au aombe kadi ya CHACHAWA moja kwa moja. Vinginevyo mauno feni hayaepukiki [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Mwindaji na Tai.
Baada ya kupita muda furani mwindaji akahisi kuna mtu anamchezea "kifenesi" chake akakurupuka, hamadi akakutana na mabinti wawili wazuri wanamshika shika kifenesi kwa mshangao. Mwindaji akavuta msuli wake na kuficha nyeti zake, wale mabinti wakashikwa na udadisi zaidi wakamuliiza yeye ni nani na imekuwaje wametofautiana na wao kwenye maumbile ya chini ya kitivu?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee!
Mitego poti. Mitego. Inawashinda wenye mioyo dhaifu [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…