Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,148
Davet we upo wapi kimakazi?Nikweli bro ila kimtindo tu sio kama watoto wa Bakhresa au Dangote
Davet we upo wapi kimakazi?Nikweli bro ila kimtindo tu sio kama watoto wa Bakhresa au Dangote
Hahahahaha [emoji16] [emoji16] [emoji16] shenzi taipu,Babu alimwambia mjukuu "jifiche, mwalimu wako anakuja, si hujaenda shule leo" mjukuu akamjibu "jifiche wewe, mie nimeomba ruhusa kua wewe umekufa" [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23]
Hahah!![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] tamaa ni sehemu ya maumbile ya mwanadamu, cha msingi tujiiitahidi kujizuia na kutosheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi unanini lakini??Hahah!! Umuhimu wa kitu huonekana pale hicho kitu kinapokua hakipo, jamaa alikua anajibebisha sana ila ulikua unamkwepa. Sasa hivi wapata homa kabisa
Huku kheri kabisa,tushukuru Mungu[emoji120][emoji120]Tulikutana. Yalikuwa maongezi mazuri. Kwema shem?
Ifikie wakati wanawake wote hasa wake za watu tuanze/waanze kujitambua.View attachment 808518
Huruma. Mke wa mtu. Amekutunuku. Unamdhalilisha....
Mkuu mimi nina makazi sehemu tatu na kote huwa naishi, Kwa baba, Kwa mama na magetoni. sasa sijui unataka kujua wapi mkuu?Davet we upo wapi kimakazi?
Hahah!! Kabisa yani ulivyokua unamfanyia ndugu yangu nilikua sifurahii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi unanini lakini??
Kumbe ndo maana hutaki kuniitia??
"Holy water"??[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkiona fenesi kama hili [emoji116][emoji116][emoji116] na hubby ana kiokra mnachanganyikiwa. Au shoo za kibabe za viandaeitini zinawazuzua. Sad !!!Ifikie wakati wanawake wote hasa wake za watu tuanze/waanze kujitambua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeeh!Kweli mkuu. Jumapili if all goes well ama namlalia mtu au nalaliwa. Can't wait [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku Mungu yupo. Tunasuasua lakini siku zinaenda. Asante shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Huku kheri kabisa,tushukuru Mungu[emoji120][emoji120]
Habari ya huko?
Aseeeeee mecheka kimoyomoyo"Holy water"??[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati analalia ama analaliwa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamani nivae viatu vyako bro
Vyovyote tu sawa...Wakati analalia ama analaliwa??[emoji23][emoji23][emoji23]