[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku wa kupumzisha nyasi
Huu uzi unaharibu akili za watu maana hakuna aliyesalama humuUtafikiri siyo Yego huyu. Uzi huu jamani duh !!!
Utafikiri siyo Yego huyu. Uzi huu jamani duh !!!
Kama kawaida sisi wengine kunachelewa kukucha huku plutoHuku kwema kabisa, vipi ndio kumekucha?
Naona hali imeanza kubadilika. Si nilisema kuwa kulikuwa bado mapema?Usiku wa kupumzisha nyasi
Isipokuwa mimi shem [emoji16][emoji16][emoji16]Huu uzi unaharibu akili za watu maana hakuna aliyesalama humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Maendeleo mazuri kijana iceman asipojitokeza aiseeee lazima tukuzindue(sio mie carba huyo ndo anasema hivyo)[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nadhani kuna Snowden humu anahack account zetu, duu! [emoji1][emoji1]
Kama yangu juzi ilihakiwa nikakuta nishatandaziwa mkeka wa kulalia mtu au kulaliwa na mtu kesho. Hakazi wengine wana roho nzuri sana !!!Nadhani kuna Snowden humu anahack account zetu, duu! [emoji1][emoji1]
Weeeeee juisi ya parachichi ilivyo nzitooo vile [emoji23][emoji23][emoji23]Bora uji kuliko juisi ya parachichi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] biashara ya parachichi kwisheny
Kama kawaida sisi wengine kunachelewa kukucha huku pluto
Wewe??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Isipokuwa mimi shem [emoji16][emoji16][emoji16]
Kimdabuo dah !!!