Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weeeeee juisi ya parachichi ilivyo nzitooo vile [emoji23][emoji23][emoji23]
Weee hujawahi kunywa uji weuweee sio ule wa mgonjwa,ni ule karibia kusonga ugali wacha weeee uji mzitoooo moto moto aiseee muda huo hata izirail akitokea utamsalimia na kusema dah umenishtua mwananguuuu nilidhan fumanizi kumbe ni wewe nisubiri nimalizie haka ka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe numby unahitaji maombi
Eeeeh
 
Weee hujawahi kunywa uji weuweee sio ule wa mgonjwa,ni ule karibia kusonga ugali wacha weeee uji mzitoooo moto moto aiseee muda huo hata izirail akitokea utamsalimia na kusema dah umenishtua mwananguuuu nilidhan fumanizi kumbe ni wewe nisubiri nimalizie haka ka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaaa, kumekucha. Eeh! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom