Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mimi NAKAZIA mzindue tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Maendeleo mazuri kijana iceman asipojitokeza aiseeee lazima tukuzindue(sio mie carba huyo ndo anasema hivyo)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah!Bora kunywa uji kuliko kimdabuo colabo
Wataka uone nini?Nione nini?
Inshaallah kheri,asante[emoji120][emoji120]Basi poa, uwe na usiku/siku njema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...and I hereby declare that CHACHAWA is officially dead [emoji16][emoji16][emoji16]
Weee hujawahi kunywa uji weuweee sio ule wa mgonjwa,ni ule karibia kusonga ugali wacha weeee uji mzitoooo moto moto aiseee muda huo hata izirail akitokea utamsalimia na kusema dah umenishtua mwananguuuu nilidhan fumanizi kumbe ni wewe nisubiri nimalizie haka ka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeeeee juisi ya parachichi ilivyo nzitooo vile [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe pekeyo? Puliiiiziii...Wewe??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pekeyangu ndo nimenusulika humu.
Shikamoo shem,kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona hali imeanza kubadilika. Si nilisema kuwa kulikuwa bado mapema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kolabo nyingine sio unajikuta unapata severe dehydrationBora kunywa uji kuliko kimdabuo colabo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Maendeleo mazuri kijana iceman asipojitokeza aiseeee lazima tukuzindue(sio mie carba huyo ndo anasema hivyo)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama yangu juzi ilihakiwa nikakuta nishatandaziwa mkeka wa kulalia mtu au kulaliwa na mtu kesho. Hakazi wengine wana roho nzuri sana !!!
Sina budi kuuendea huo uji kwakweli...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kanywe uji wa ka andaeitini bhana ila kaangalie kasije faint
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu sub mwakaleli,severe dehydration ileee naionaDah!
Umenikumbusha mbali. Kimdabuo colabo. Siriisamu [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe numby unahitaji maombiWeee hujawahi kunywa uji weuweee sio ule wa mgonjwa,ni ule karibia kusonga ugali wacha weeee uji mzitoooo moto moto aiseee muda huo hata izirail akitokea utamsalimia na kusema dah umenishtua mwananguuuu nilidhan fumanizi kumbe ni wewe nisubiri nimalizie haka ka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weee hujawahi kunywa uji weuweee sio ule wa mgonjwa,ni ule karibia kusonga ugali wacha weeee uji mzitoooo moto moto aiseee muda huo hata izirail akitokea utamsalimia na kusema dah umenishtua mwananguuuu nilidhan fumanizi kumbe ni wewe nisubiri nimalizie haka ka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]Wewe pekeyo? Puliiiiziii...
Marahaba shem. Huku kwema kabisa
Yegooooooo geti rediiiSina budi kuuendea huo uji kwakweli...
Yegomasika nakuja....get redi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe numby unahitaji maombi
Eeeeh
Aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe numby unahitaji maombi
Eeeeh