Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ati bro. Likipita limsambwanda la ukweli lenzi mbinuko legevu linabiringishwa kivivu vivu halafu nikageuka kuliangalia ili kusifia uumbaji wake Mwenyezi ninakuwa tayari nimeshatenda zinaa? Kama jibu ni ndiyo basi hali ni ya hatari bro na mimi binafsi nitaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kajiandae twende kanisani tuwahi misa maana.....
 
A9712504-61FF-4656-A813-32329AFEF661.jpeg
 
Back
Top Bottom