Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu upako angalau kwa siku ya leo upate kudumu
 
Halafu huyo Bwana Fadhili hilo jina sio geni kabisa! Aliishi miaka kibao kwa Trump huko, halafu ana mke na mtoto/watoto! Ovyo kabisa! [emoji1][emoji1]
Namfahamu. Alikuwa na bright future. Imebidi mpaka waziri mkuu aende kuwasuluhisha kwa sababu kazi hazifanyiki na ingefikia hata kutandikana risasi. Sasa yeye ndo kafutwa kazi mwenzake kaachwa...
 
Halafu huyo Bwana Fadhili hilo jina sio geni kabisa! Aliishi miaka kibao kwa Trump huko, halafu ana mke na mtoto/watoto! Ovyo kabisa! [emoji1][emoji1]
Kwani kuwa na familia na watoto ndo nini?
Shida mkishaanza kufikiri kwa kutumia kichwa kidogo mambo mengine mnaona sawa tu,hovyooo kabisa
 
Wenzangu wa kubeti, mbona mikeka ishatandikwa tu. Croatia Vs Ufaransa ndio habari mjini.
Julai 15, itakuwa ni siku kukumbukwa katika kalenda ya FIFA. Mmoja kati ya Ufaransa na Croatia ataenda nyumbani akicheka.
 
Namfahamu. Alikuwa na bright future. Imebidi mpaka waziri mkuu aende kuwasuluhisha kwa sababu kazi hazifanyiki na ingefikia hata kutandikana risasi. Sasa yeye ndo kafutwa kazi mwenzake kaachwa...

Hahaa, so sad! Halafu kwa umri wake hakutakiwa kukumbwa na kashfa kama hizo, ni mtu mzima yule! [emoji1][emoji1]
 
Sijui ni nani ila ninachokifahamu ni kwamba, huu utakuwa ni muendelezo wa mechi ya nusu fainali ya 1998. Luca Modric na wenzake watawalipia Davor Suker na wenzao kisasi cha kupigwa 2-1?
Je, Paul Pogba, N'Golo Kante, Kylian Mbappe, Antoine Griezmann, Olivier Giroud na Blaise Matuidi, wataendeleza ubabe wa Ufaransa dhidi ya watoto wa mama? Jibu la hili swali tutalipata baada ya dakika 90, kukamilika kwenye dimba la taifa la Russia, wenyewe wanaliita Uwanja Luzhniki.
 
Tuachane na hayo kwa sasa. Kuelekea mtanange huu, kuna kitu ambacho wengi hawaufahamu. Ni kwamba, mechi hii itakuwa ni zaidi ya fainali.
Ukiangalia vikosi vya timu hizi, utagundua kuwa, kuna vita nyingine itakayoshuhudiwa pale Luzhniki. Kutakuwa na vita ya nani mkali.
 
Swali la kujiuliza ni Je, N'Golo Kante ataweza kumzuia Luka Modric kufanya mambo yake pale kati? Je, Croatia wana ubavu wa kumzuia Kylian Mbappe, kuleta madhara akitokea Winga ya kulia? Vipi kuhusu Ivan Perisic, Les Blues watamuweza? Mwanaspoti inakuchambulia kwa makini
 
KANTE VS MODRIC
Katika mechi ya kesho kutakuwa na mpambano mkali katikati ya dimba la Luzhniki kati ya kiungo wa Chelsea NG'olo Kante na kiungo wa Real Madrid, Luca Modric. wawili hawa mpaka sasa ndio viungo walioonyesha kiwango bora zaidi na sasa watachuana kuweka heshima na kuondoa ubishi ya nani mkali kati yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…