Ukisindikiza na likes itapendeza zaidi.[emoji460] *[emoji632]FRA vs CRO[emoji1082]*
Score: 0 - 0
Min: 1
First half begins!!
Kwako pia mulangira. Niko hapa nasubiri kushuhudia Wafaransa wakipata taabu sana !!!Happy day to you mkuru
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatoagi likes...Ukisindikiza na likes itapendeza zaidi.
Kwa nini mkuu? Mpira unatabirikaga kwani?Hatutaona magoli mengi leo
NdioHivi Tbc1 wanaonyesha.....?
Huwa namuona sana....Hatoagi likes...
Na dawa yake ni kummwagia likes za kutosha tu mpaka aridhike
Tabu nitaipata sana mkuu, Lakini lazima dhambi ya 2016 niifuteKwako pia mulangira. Niko hapa nasubiri kushuhudia Wafaransa wakipata taabu sana !!!