Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9016FD45-77F9-4338-8C80-543AE3DE701A.jpeg
 
Ni mlinda lango ambaye huchezea klabu ya Marseille ya Ufaransa. Alizaliwa mnamo 28 Machi 1985 mjini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wakati huo ikiitwa Zaire na jina lake kamili ni Steve Mandanda Mpidi. Ana ndugu watatu wadogo wote ambao ni walinda lango, na wawili kati yao hucheza soka ya kulipwa.
"Afrika muye muye"[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mandanda aliamua kuwa mlinda lango kibahati akiwa na miaka tisa. Kocha wake wa zamani katika timu ya vijana Evreux anasema wakati mmoja alikuwa anatembea wachezaji wengine wakifanya mazoezi. „Nilimuona akinitazama kwa macho makubwa, na akaniambia: 'iwapo nitacheza kandanda, basi ninataka kuwa mlinda lango kwa sababu (ukiwa kipa) hauhitajiki kukimbia!"
Tulivyokuwa skuli nafasi hiyo tuliikataa kwa kuwa una kuwa kama mtamaji badala ya kucheza[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom