YeaBeki bora wa Kombe la Dunia?
Hivi huyu mzee aneshaondoshwa ICU au yuko wapi hasa? Maana tulishamsahau kabla hata hajafa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Nilijua Makonda Mkuu Wa Wakuu Pale Mzizima
Si wazima hofu kwakowazima humu
Alikaa 8years kwenye coma ICU, ndio wakazima mashineHivi huyu mzee aneshaondoshwa ICU au yuko wapi hasa? Maana tulishamsahau kabla hata hajafa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Walete walete
Joto la huko ni la Oven[emoji16] [emoji16]Kwa Mara ya kwanza WC itabadilika muda wa kuchezwa itakuwa mwezi December na January kwa ajiri ya joto kali
[emoji16] [emoji16] [emoji16] mnajiliwazaWoyowoyo
[emoji16] [emoji16]'Africa United': Mataifa ya Afrika yaliyochangia wachezaji timu ya taifa na Ufaransa Kombe la Dunia 2018
Kabisa,Ufaransa watakutana na Croatia katika fainali ya Kombe la Dunia Urusi Jumapili na ingawa hakuna timu kutoka Afrika iliyofika hatua ya muondoano, wengi wamekuwa wakilitaja taifa hilo kama Africa United.
Ni timu ya Afrika haswaaHii ni kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengi wenye asili ya bara Afrika.
Umeona hiyoKwa jumla, kikosi cha Ufaransa kina wachezaji 14 ambao wana mzazi mmoja au wazazi wote wawili wanaotoka Afrika.