Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Zumbukuku si ndiyo alisema kuwa negotiations haziendi vizuri kwa sababu mama hakufuata ushauri wake. Ushauri wenyewe kumbe ilikuwa ni ku-sue. Mama imebidi afunguke ili kutuliza mambo.
Ooh kumbe? Nimeiona hiyo article sehemu ila sijaisoma. Mama ameamua kumwaga mboga? [emoji1][emoji1]