Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaweni na siku njema wapendwa. Neema ya Mungu na ikaendelee kutufunika. Tukawasamehe waliotukosea. Tukawasaidie wagonjwa, mayatima na wenye uhitaji huku tukitambua kuwa ukuu na furaha yetu halisi; na hata maana halisi ya maisha yetu hapa duniani vimo katika kuwasaidia wengine na kueneza upendo. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen
 
Angelique Kerber amemchapa bingwa mara saba Serena Williams na kushinda taji lake la kwanza la Wimbledon katika fainali mashindano hayo kwa wanawake.

Mjerumani Kerber anayeshika nafasi 11 kwa ubora, amemtandika bila huruma bingwa mara 23 wa Grand Slam, Serena kwa seti 6-3 6-3 katika mchezo uliotumia saa moja na dakika tano.
Aisee WC hii imenifanya nikose mashindano haya kuangalia Serena naona kiwango kinapungua sasa
 
KANTE VS MODRIC
Katika mechi ya kesho kutakuwa na mpambano mkali katikati ya dimba la Luzhniki kati ya kiungo wa Chelsea NG'olo Kante na kiungo wa Real Madrid, Luca Modric. wawili hawa mpaka sasa ndio viungo walioonyesha kiwango bora zaidi na sasa watachuana kuweka heshima na kuondoa ubishi ya nani mkali kati yao.
Hatari sana
 
Croatia itakwaruzana na Ufaransa uwanja wa Luzhniki Moscow Jumapili ikilenga kushinda taji kwa mara yake ya kwanza nao wapinzani wake Croatia wakishiriki fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya tatu.
 
Back
Top Bottom