AmiinKaweni na siku njema wapendwa. Neema ya Mungu na ikaendelee kutufunika. Tukawasamehe waliotukosea. Tukawasaidie wagonjwa, mayatima na wenye uhitaji huku tukitambua kuwa ukuu na furaha yetu halisi; na hata maana halisi ya maisha yetu hapa duniani vimo katika kuwasaidia wengine na kueneza upendo. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hyo ndio dawa yao,,, shwaini zaoHivi ni kweli au maumbile tu, maana mnaanza kutishana bhana[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] View attachment 809524
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasa kule sportsThanks Numbisa,,, leo humu ndani itakuwa wamepata tabu sana kwa hz gif[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye ule uzi wa Russia World Cup 2018[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasa kule sports