Hahahahaha! Mvaaji kashakiona.Hichi ni kiatu kinataka mvaaji au?
Hahahha Shimba Ya Buyenze aione hii,,, alikabidhiwa akulinde hahaHahah!! Raha ya nyumba upate wageni tofauti tofauti yani Kuweka ndani nahisi kama sijaumbiwa mimi bro....
Sema muda tu bado haujafika
Asubuhi tamu kumbeI [emoji173] U.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahah ndio mkuuKwahiyo sasa upo KG kweli?
Labda umeweka hizo ni pair mbiliHahahahaha! Mvaaji kashakiona.
Hahah!! Mkuu SYB anapata tabuHahahha Shimba Ya Buyenze aione hii,,, alikabidhiwa akulinde haha
Aisee amani ipo kweli huko?Hahah ndio mkuu
Hahahha Yap,, amani ipo mzeeAisee amani ipo kweli huko?
Ulinzi ulishanishinda. Imagine mtu nimekabidhiwa kumlinda juzi anataka kuninyang'anya mkeka niliotandaza mwenyewe. Hapa hakuna kitu hapa mlinzi nitaishia kulaumiwa bure tu...[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahha Shimba Ya Buyenze aione hii,,, alikabidhiwa akulinde haha
Tena kubwa. Mwajiri wangu naye nikimlalamikia anaishia kusema tu hajali kisa utamu wa uji anaopata. Kwa kweli napata tabi sana !!!Hahah!! Mkuu SYB anapata tabu
Mshana Jr ama?Asee mko wapi?View attachment 809504
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ulinzi ulishanishinda. Imagine mtu nimekabidhiwa kumlinda juzi anataka kuninyang'anya mkeka niliotandaza mwenyewe. Hapa hakuna kitu hapa mlinzi nitaishia kulaumiwa bure tu...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 809508
Beche limekubali balaa
Hahahahaha [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hizo ni fani za watu mkuu nitaziweza wapi mimi?Mshana Jr ama?