Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Williams alikuwa akipewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huo pamoja na kuwa ni shindano lake la nne kushiriki tangu alipojifunga Septemba mwaka jana.
Kerber alitumia vizuri mbinu yake ya kujilinda, huku akitumia udhaifu wa Williams kushindwa kwenda na kasi ya mchezo kumaliza mechi hiyo.
Kerber alitumia vizuri mbinu yake ya kujilinda, huku akitumia udhaifu wa Williams kushindwa kwenda na kasi ya mchezo kumaliza mechi hiyo.