mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hatari sanaNamba zitaendelea kusomeka kotekote, uraiani mpaka magerezani
Lakini sio wote walioko magerezani wana hatia kusema wako kule kutumikia dhambi zao si sawa
Hatari sanaNamba zitaendelea kusomeka kotekote, uraiani mpaka magerezani
11 hrs to go[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haina shida,, bado masaa tu,, leo mpoteane
Majungu Rip banza stoneElimu ya Mjinga - TOT
Leo nipo nipo sana hapaTukutane hapa hapa mkuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
MorningMoning tz
MorningMoning africa
Tupo pamoja mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm nipo mkuu,,, ikifika mida ile ntakuwepo hapa,, kushuhudia Modric akilinyanyua kombe!!!
[HASHTAG]#GoCroatia[/HASHTAG]
MorningI [emoji173] U.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahah sawa sawaHahahha Yap,, amani ipo mzee
Na baridi naona mko single[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiku wote huu lakini uzi unakimbia balaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] daa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuuUlinzi ulishanishinda. Imagine mtu nimekabidhiwa kumlinda juzi anataka kuninyang'anya mkeka niliotandaza mwenyewe. Hapa hakuna kitu hapa mlinzi nitaishia kulaumiwa bure tu...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 809508
Mzee wa ref kwa matumizi ya baadayeUlinzi ulishanishinda. Imagine mtu nimekabidhiwa kumlinda juzi anataka kuninyang'anya mkeka niliotandaza mwenyewe. Hapa hakuna kitu hapa mlinzi nitaishia kulaumiwa bure tu...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 809508
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu ya uji ni zaidi ya nguvu ya buku kwenye bikoTena kubwa. Mwajiri wangu naye nikimlalamikia anaishia kusema tu hajali kisa utamu wa uji anaopata. Kwa kweli napata tabi sana !!!
Hahahaha mmoja alijioa mwenyewe
Hahahaha watapata tabu sana[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
दुराचारी च दुर्दृष्टिर्दुराऽऽवासी च दुर्जनः।
यन्मैत्री क्रियते पुम्भिर्नरः शीघ्र विनश्यति ॥
भावार्थ :
दुराचारी, दुष्ट स्वभाव वाला, बिना किसी कारण दूसरों को हानि पहुँचाने वाला तथा दुष्ट व्यक्ति से मित्रता रखने वाला श्रेष्ठ पुरुष भी शीघ्र ही नष्ट हो जाते है क्यूोंकि संगति का प्रभाव बिना पड़े नहीं रहता है ।
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
Ngoja tuone mwenzie atajibu nini maana aya maneno mazito[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
दुराचारी च दुर्दृष्टिर्दुराऽऽवासी च दुर्जनः।
यन्मैत्री क्रियते पुम्भिर्नरः शीघ्र विनश्यति ॥
भावार्थ :
दुराचारी, दुष्ट स्वभाव वाला, बिना किसी कारण दूसरों को हानि पहुँचाने वाला तथा दुष्ट व्यक्ति से मित्रता रखने वाला श्रेष्ठ पुरुष भी शीघ्र ही नष्ट हो जाते है क्यूोंकि संगति का प्रभाव बिना पड़े नहीं रहता है ।
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
Wewe ujaelewa alikuwa anamkuu chakaraboti kuhusu sinema yake mpya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unachapia mkuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] hapa umeongea kihindi kibovu kabisa[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Amun RaKaweni na siku njema wapendwa. Neema ya Mungu na ikaendelee kutufunika. Tukawasamehe waliotukosea. Tukawasaidie wagonjwa, mayatima na wenye uhitaji huku tukitambua kuwa ukuu na furaha yetu halisi; na hata maana halisi ya maisha yetu hapa duniani vimo katika kuwasaidia wengine na kueneza upendo. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]