[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaaaaa!
Kitandani ndo chenga nyingi za cr7 eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipenda mshabiki nawe unakua mshabiki jirani[emoji23][emoji23]Upendo gani tena jirani??
Huo upendo wa ki fala sinaga jirani[emoji38][emoji38][emoji38]Ukipenda mshabiki nawe unakua mshabiki jirani[emoji23][emoji23]
Oni mai weiiiiii[emoji470][emoji470][emoji470]Kabla ya kwenda huko milimani hebu ukuje hapa, Cape Town Fish Market; Msasani tupate dinner kwanza! [emoji23][emoji23]
Haya jirani...Huo upendo wa ki fala sinaga jirani[emoji38][emoji38][emoji38]
Oni mai weiiiiii[emoji470][emoji470][emoji470]
Mh !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Croatia ni wa kupongezwa...wamefikia hatua kubwa kufika fainali za michuano mikubwa sana duniani...
Mkuu pole [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu poleKabisa mkuu