Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Sikubaliani na uamuzi wa Ref kutoa penaltiNdo imeshatoka hiyo mkuu. Waendelee kupambana
Sikubaliani na uamuzi wa Ref kutoa penaltiNdo imeshatoka hiyo mkuu. Waendelee kupambana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nilikuhakikishia lakini...Huwezi jua. Kuna akina Davet wanajipitisha pitisha. Waweza kuta mkeka haupo ohooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kitandani ufundi, chenga peleka mashineni.Mpira magoli,chenga peleka kitandani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
France wasipopata goli la tatu mapema gololi zangu hazitapona. maana hata HT nimeziminya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kitandani ufundi, chenga peleka mashineni.
Oooh boi [emoji16][emoji16][emoji16]Mpira magoli,chenga peleka kitandani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana..Mambo ni motoooo
Unafikiri hata usipokubaliana naye itasaidia lolote mkuu? Croatia wapambane wasawazishe hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Sikubaliani na uamuzi wa Ref kutoa penalti
Croatia akishinda unanitoa dinner na france wakishinda wanitoa dinner
Namaaniaha dinner na si "dinner" Hilo ni angalizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kaugusa. Wanaopinga wanapinga nini?Iliyosababisha penatView attachment 810115
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyasi za Russia zinapata tabu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zina afya? Tuanzie hapo kwanza [emoji16][emoji16][emoji16]Nyasi za Russia zinapata tabu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]