Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ati bro. Likipita limsambwanda la ukweli lenzi mbinuko legevu linabiringishwa kivivu vivu halafu nikageuka kuliangalia ili kusifia uumbaji wake Mwenyezi ninakuwa tayari nimeshatenda zinaa? Kama jibu ni ndiyo basi hali ni ya hatari bro na mimi binafsi nitaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahaha hali ni ya hatari sana Bro,, ni kwa neema za Mwenye ez Mungu pekee,, dunia imejaa vishawsh vya kila namna
 
Mkuu ningendeko maneno hayajanipa gharama yoyote hayo[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ufaransa si tumeshinda mkuu!! Ingekuwa maajabu km Croatia watufunge sisi km France
 
Back
Top Bottom