Mimi mchawi walahiSis [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ving'ang'anizi mnajuana !!!Kama Anaendelea kukujibu
"mimi nina mtu wangu"
braza usikate tamaa..msichana mwenye msimamo hana muda wa kujib sms.
[emoji23][emoji23]
Lijimshumaa !!!
Picha zako zote zingekuwa hivi ingependeza sana walahi!
Ni huyu aliyewachimba mkwara kuwa New Orleans watapata shida sana na wakapata?Marie Loveau nilipata kisanga chake kimoja mhhh asiee magic ipo hakika
Liji imetoka wapi tena?Lijimshumaa !!!
You are a good mom. I salute you [emoji122][emoji122][emoji122]
Liji ni kuongeza mubaalagha tu. Ni lugha huishi kuunganisha vitamkwa kuzishi viwili ili kuelezea kuwa kitu ni kikubwa (kupitiliza). Haina ukakasi...Liji imetoka wapi tena?
Mbona tuna tafutana chini ya mvungu mr usa ya Tz!
Hahahaha
HahahahaLiji ni kuongeza mubaalagha tu. Ni lugha huishi kuunganisha vitamkwa kuzishi viwili ili kuelezea kuwa kitu ni kikubwa (kupitiliza). Haina ukakasi...
Sina ubavu wa kukutafuta chini ya mvungu wallahi; na no ignore list please [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️